Zana zote kwenye tovuti hii, zikijumuisha lakini zisizoishia tu kwa, maandishi, picha, taswira, michoro, ramani, vipande vya sauti, na vipande vya video (“Yaliyomo”) zimelindwa kwa haki miliki, nembo ya kibiashara, na haki zingine za kitaaluma za mali. Jumuiya ya Kibahá'í ya Kimataifa hubaki na ulinzi kamili wa kisheria kwa ajili ya maudhui yake chini ya sheria zote husika za kitaifa na kimataifa.
Wasomaji kwenye Tovuti hii hawafuatiliwi, isipokuwa kutoa taarifa za kitakwimu za jumla ambazo haziwaainishi watumiaji binafsi. Pale ambapo kidakuzi zimetumika kuleta utendaji muhimu, hizi hazitumiki kufuatilia matumizi ya tovuti au kuhifadhi habari binafsi zinazotambulika. Hatua zimechukuliwa kulinda habari zote zilizokusanywa kutoka upatikanaji, utumiaji au ufunuzi usioidhinishwa. Tafadhali kumbuka kuwa tovuti hii inaweza kujumuisha viunganishi kwenye tovuti zenye sera tofauti za faragha.
Unakaribishwa kupata na kutumia Maudhui ya tovuti hii kwa masharti yafuatavyo:
Maudhui hayapaswi kutumiwa kwa njia ambayo haiwakilishi dhamira ya chanzo halisi.
Kama ukipenda kutumia maudhui yoyote, lazima yaambatane na taarifa ifuatayo: “Hakimiliki © Jumuiya ya Kibahá'í ya Kimataifa” pamoja na utambuzi wa chanzo hiki pale inapofaa.
Maudhui ya Sauti na ya Kuona vikiwemo vipande vya video, vipande vya sauti, ramani, na picha yanaweza kupunguzwa na kuhaririwa kwa ajili ya ukubwa. Hakuna uhariri mwingine unaoruhusiwa. Kila mtumiaji wa maudhui ya Sauti na ya Kuona amepewa leseni yenye mipaka ya kutojihusisha na utumiaji, kuzalisha tena, kusambaza, kuunganisha na/au kuonesha maudhui haya ili mradi tu muhusika, asili au maana ya maudhui hubakia bila kubadilishwa.
Matumizi yoyote ya kibiashara yanahitaji kupata ruhusa kabla ya kutumia. Kwa maswali, tafadhali tuma barua pepe kwa termsofuse@bahai.org
Jumuiya ya Kibahá’í ya Kimataifa inayo haki ya kuondoa ruhusa ya kutumia Maudhui muda wowote na kwa matumizi yoyote. Katika hali hiyo, matumizi ya maudhui sharti yasitishwe mara moja.
Jumuiya ya Kibahá’í ya Kimataifa haiungi mkono au kuchukua wajibu kwa ajili ya matumizi ya upande wa tatu wa Maudhui. Zaidi, Jumuiya ya Kibahá’í ya Kimataifa haitawajibika au kuhusika kwa mtu yeyote au shirika kwa aina yoyote ya moja kwa moja, dharura, madhara, usio wa moja kwa moja, au adhabu ya uharibifu ambao unaweza kusababishwa na kutokana na upatikanaji wa au utumiaji wa Maudhui haya.
Jumuiya ya Kibahá’í ya Kimataifa haitawajibika kwa upotevu wowote au uhusikaji wa mtu yeyote au shirika kwa njia yoyote ile ya moja kwa moja, dharura, madhara, usio wa moja kwa moja, au adhabu ya uharibifu ambao unaweza kusababishwa na upatikanaji wa au utumiaji wa Maudhui.
Masharti haya yanaweza kurekebishwa muda wowote bila taarifa.
Maboresho ya mwisho 29 Septemba 2017.