Maisha ya Bahá’u’lláh

Simulizi ya kipicha ya maisha ya Bahá’u’lláh. Zilizojumuishwa kwenye tovuti hii ni picha za mahali Alipozaliwa, miji ya uhamisho Wake, kizimba Alichowekwa kwa miaka miwili, mahali Pake pa mapumziko ya mwisho, mifano ya mwandiko Wake na masalio ya maisha Yake.

Nyumba ya Haki ya Ulimwengu

Tovuti rasmi ya Imani ya Kibahá’í ambayo hutoa habari kuhusu Nyumba ya Haki ya Ulimwengu na hufanya uwepo wa kauli zilizochaguliwa na barua ambazo zimeandikwa nayo au zimeandaliwa chini ya usimamizi wake.


Kuchomoza kwa Mwanga

Filamu kusheherekea miaka mia mbili ya Kuzaliwa kwa Báb

Mfano Wa Kuigwa

A film to mark the Centenary Commemoration of the Ascension of ‘Abdu’l-Bahá

Vidokezo

vya Jithada ya Miaka Mia Moja

An Expansive Prospect

An Expansive Prospect looks at four places in the world, capturing the efforts of individuals, communities, and institutions as they strive together to release the society-building power of the Bahá'í Teachings in ever-greater measures.

Miaka Mia Mbili Toka Kuzaliwa Bahá’u’lláh

Tovuti rasmi ya kimataifa kwa ajili ya miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Baha’u’llah, mwanzilishi wa Imani yaKibahá’í, ikionesha vidokezo vya sherehe za tukio hili la kihistoria toka pande zote za dunia.

Mwanga kwa Ulimwengu

Makala ya filamu kuhusu maisha na mafundisho ya Bahá'u'lláh.

Safu za mbele za ujifunzaji

Filamu hii imegusa umaizi na uzoefu wa watu kutoka jumuiya nne ulimwenguni ambazo juhudi zao za kujenga jumuiya hai na zenye kupuma zipo kwenye safu za mbele za ujifunzaji.

Kuinuka Kuhudumu

Filamu inayo angazia makongamano ya 41 Kibahá’í ya kikanda yaliyoitishwa na Nyumba ya Haki ya Ulimwengu mnamo 2008.


Idara ya Habari za Ulimwengu za Kibahá'í

Tovuti rasmi ya habari za jumuiya ya Kibahá’í ulimwenguni.

Benki ya Picha za Kibahá’í

Picha zilizopo kwa ajili ya kupakuliwa.

Ofisi ya Jumuiya ya Kibahá’í ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa

Tovuti rasmi ya Ofisi ya Jumuiya ya Kibahá’í ya Kimataifa (BIC) kwenye Umoja wa Mataifa. Tovuti inazo habari na taarifa kuhusu shughuli za hivi karibuni na hutoa fursa kwa kauli za BIC, taarifa, na machapisho mengine.